Mizpeh
33.2800, 35.5700 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Mizpeh
naye Bwana akawatia mikononi mwa Israeli. Wakawashinda na kuwafukuza hadi Sidoni Kuu na kuwafikisha Misrefoth-Maimu, hadi Bonde la Mispa upande wa mashariki, hadi pakawa hakuna yeyote aliyebaki.