Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Murmuring: Illustrated

3 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu Illustrated

  1. Walipoipokea, wakaanza kulalamika dhidi ya yule mwenye shamba,

  2. Lakini yeye akamjibu baba yake, ‘Tazama! Miaka yote hii nimekutumikia na hata siku moja sijaacha kutii amri zako, lakini hujanipa hata mwana-mbuzi ili nifurahi na rafiki zangu.

  3. Lakini huyu mwanao ambaye ametapanya mali yako kwa makahaba aliporudi nyumbani, wewe umemchinjia ndama aliyenona!’