Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Murmuring: Disciples

3 mistari · 31 vipengele

Tafuta "Murmuring"

Mistari kuhusu Disciples

  1. Baadhi ya watu waliokuwepo pale walikuwa wakisemezana wao kwa wao, “Upotevu huu wote ni wa nini?

  2. Mafuta haya yangeweza kuuzwa kwa zaidi ya dinari 300, na fedha hizo wakapewa maskini.” Wakamkemea vikali huyo mwanamke.

  3. Yesu alipojua kwamba wafuasi wake wananungʼunika kuhusu mafundisho yake, akawaambia, “Je, jambo hili limewaudhi?