Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Murmuring: Jews

3 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu Jews

  1. Wayahudi wakaanza kunungʼunika kwa kuwa alisema, “Mimi ndimi mkate ulioshuka kutoka mbinguni.”

  2. Wakasema, “Huyu si Yesu, mwana wa Yosefu, ambaye baba yake na mama yake tunawajua? Anawezaje basi sasa kusema, ‘Nimeshuka kutoka mbinguni’?”

  3. Hivyo Yesu akawaambia, “Acheni kunungʼunikiana ninyi kwa ninyi.