Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Meekness: His teaching

8 mistari · 29 vipengele

Mistari kuhusu His teaching

  1. “Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’

  2. Lakini mimi nawaambia, msishindane na mtu mwovu. Lakini kama mtu akikupiga kwenye shavu la kuume, mgeuzie na la pili pia.

  3. Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia.

  4. Kama mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili.

  5. Mpe yeye akuombaye, wala usimgeuzie kisogo yeye atakaye kukukopa.

  6. “Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Mpende jirani yako na umchukie adui yako.’

  7. Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi,

  8. ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu waovu na watu wema, naye huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.