Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Meekness: Necessary to a Christian walk

3 mistari · 29 vipengele

Mistari kuhusu Necessary to a Christian walk

  1. Huko kuwa na mashtaka miongoni mwenu ina maana kwamba tayari ni kushindwa kabisa. Kwa nini msikubali kutendewa mabaya? Kwa nini msikubali kunyangʼanywa?

  2. Basi, mimi niliye mfungwa wa Bwana, nawasihi mwenende kama inavyostahili wito wenu mlioitiwa.

  3. Kwa unyenyekevu wote na upole, mkiwa wavumilivu, mkichukuliana kwa upendo.