Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Duke

33 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Hawa ndio wakuu waliotokana na Esau, kwa majina, kufuatana na koo zao na nchi zao: Timna, Alva, Yethethi,

  2. Oholibama, Ela, Pinoni,

  3. Kenazi, Temani, Mibsari,

  4. Magdieli na Iramu. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Edomu, kufuatana na makazi yao katika nchi waliyoimiliki. Huyu ndiye alikuwa Esau, baba wa Waedomu.

  5. Naye Hadadi pia akafa. Wakuu wa Edomu walikuwa: Timna, Alva, Yethethi,

  6. Oholibama, Ela, Pinoni,

  7. Kenazi, Temani, Mibsari,

  8. Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Edomu.