Mistari ya Biblia kuhusu Consolation Under Affliction: Through the Holy Scriptures
Mistari kuhusu Through the Holy Scriptures
Faraja yangu katika mateso yangu ni hii: Ahadi yako inahifadhi maisha yangu.
Upendo wako usiokoma uwe faraja yangu, sawasawa na ahadi yako kwa mtumishi wako.
Kwa maana kila kitu kilichoandikwa zamani, kiliandikwa kutufundisha, ili kwamba kwa saburi na faraja tunayopata katika Maandiko tuwe na tumaini.