Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Consolation Under Affliction: God is the author and Giver of

7 mistari · 22 vipengele

Mistari kuhusu God is the author and Giver of

  1. Hata kama nikipita katikati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya, kwa maana wewe upo pamoja nami; fimbo yako na mkongojo wako vyanifariji.

  2. Mungu atoaye saburi na faraja, awajalie ninyi roho ya umoja miongoni mwenu mnapomfuata Kristo Yesu,

  3. Ahimidiwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa huruma na Mungu wa faraja yote.

  4. Bali Mungu, yeye awafarijie wenye huzuni, alitufariji kwa kufika kwake Tito.

  5. mkiwa mmetiwa nguvu kwa uwezo wote kwa kadiri ya nguvu yake yenye utukufu, ili mpate kuwa na wingi wa saburi na uvumilivu. Nanyi kwa furaha

  6. Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe na Mungu Baba yetu, aliyetupenda na kwa neema yake akatupatia faraja ya milele na tumaini jema,

  7. awafariji mioyo yenu na kuwaimarisha katika kila neno na tendo jema.