Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Consolation Under Affliction: To the poor

4 mistari · 22 vipengele

Mistari kuhusu To the poor

  1. Lakini wewe, Ee Mungu, unaona shida na huzuni, umekubali kuyapokea mkononi mwako. Mhanga anajisalimisha kwako, wewe ni msaada wa yatima.

  2. Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamsikia, akamwokoa katika taabu zake zote.

  3. Mcheni Bwana enyi watakatifu wake, kwa maana wale wamchao hawapungukiwi na chochote.

  4. Wana simba wenye nguvu hutindikiwa na kuona njaa, bali wale wamtafutao Bwana hawatakosa kitu chochote kilicho chema.