Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Circumcision

79 mistari · 58 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Ushawishi wa namna hiyo haukutokana na yule anayewaita.

  2. “Chachu kidogo huchachua donge zima.”

  3. Nina hakika katika Bwana kwamba hamtakuwa na msimamo mwingine. Mtu anayewachanganya anastahili adhabu, hata awe nani.

  4. Lakini ndugu zangu, kama mimi bado ninahubiri kuhusu kutahiriwa, kwa nini bado ninateswa? Katika hiyo hali basi, kwazo la msalaba limeondolewa.