Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Circumcision: Performed on all males on the eighth day

2 mistari · 58 vipengele

Mistari kuhusu Performed on all males on the eighth day

  1. Kwa vizazi vijavyo, kila mwanaume miongoni mwenu mwenye siku nane ni lazima atahiriwe, pamoja na watakaozaliwa nyumbani mwako au walionunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni, wale ambao sio watoto wako.

  2. Awe amezaliwa nyumbani mwako au amenunuliwa kwa fedha yako, ni lazima watahiriwe. Agano langu katika mwili wako litakuwa ni Agano la milele.