Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Circumcision: Necessity of, denied by Paul

3 mistari · 58 vipengele

Mistari kuhusu Necessity of, denied by Paul

  1. Lakini hata Tito ambaye alikuwa Myunani, hakulazimika kutahiriwa.

  2. Lakini kwa sababu ya ndugu wa uongo ambao walijiingiza kwa siri katikati yetu ili kupeleleza uhuru wetu tulio nao katika Kristo Yesu, wapate kututia utumwani,

  3. hatukukubaliana nao hata dakika moja, ili kwamba ukweli wa Injili ubaki nanyi.