Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Circumcision: In the presence of the family, &c

4 mistari · 58 vipengele

Mistari kuhusu In the presence of the family, &c

  1. Majirani zake na jamii zake wakasikia jinsi Bwana alivyomfanyia rehema kuu, nao wakafurahi pamoja naye.

  2. Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zekaria, ambalo ndilo jina la baba yake.

  3. Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yohana.”

  4. Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.”