Rukia maudhui

Kohath

29 mistari · 8 wanafamilia

Mistari inayomtaja Kohath

Chuja kwa kitabu
  1. Kutoka nusu ya kabila la Manase, Waisraeli waliwapa koo za Wakohathi waliobaki miji ya Aneri na Bileamu pamoja na maeneo yake ya malisho.

  2. Kutoka wazao wa Kohathi, Urieli kiongozi na ndugu zake 120,

  3. Daudi akawagawa Walawi katika makundi kufuatana na wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari.

  4. Wana wa Kohathi walikuwa wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.