Skip to content

Izhar

10 mistari · 8 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Izehar, Amminadab

Mistari inayomtaja Izhar

  1. Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133.

  2. Wana wa Ishari walikuwa Kora, Nefegi na Zikri.

  3. Koo za Wakohathi zilikuwa ni: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

  4. Kora mwana wa Ishari, mwana wa Kohathi, mwana wa Lawi, pamoja na baadhi ya Wareubeni, yaani Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu, na Oni mwana wa Pelethi, wakachukua baadhi ya watu,

  5. Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

  6. Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

  7. Wazao wa Kohathi: Kohathi akamzaa Aminadabu, Aminadabu akamzaa Kora, Kora akamzaa Asiri,

  8. mwana wa Ishari, mwana wa Kohathi, mwana wa Lawi, mwana wa Israeli;

  9. Wana wa Kohathi walikuwa wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

  10. Wana wa Ishari: Shelomithi alikuwa wa kwanza.