Skip to content

Uzziel

11 mistari · 9 wanafamilia

Mistari inayomtaja Uzziel

  1. Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133.

  2. Wana wa Uzieli walikuwa Mishaeli, Elisafani na Sithri.

  3. Mose akawaita Mishaeli na Elisafani, wana wa Uzieli mjomba wake Aroni, akawaambia, “Njooni hapa. Ondoeni miili ya binamu zenu mbele ya mahali patakatifu, mkaipeleke nje ya kambi.”

  4. Koo za Wakohathi zilikuwa ni: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

  5. Kiongozi wa jamaa za koo za Wakohathi alikuwa Elisafani mwana wa Uzieli.

  6. Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

  7. Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

  8. Kutoka wazao wa Uzieli, Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112.

  9. Wana wa Kohathi walikuwa wanne: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.

  10. Wana wa Uzieli walikuwa: Mika wa kwanza na Ishia wa pili.

  11. Mwana wa Uzieli: alikuwa Mika; kutoka kwa wana wa Mika: alikuwa Shamiri.