Rukia maudhui

Elizaphan

5 mistari · 5 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Elzaphan

Mistari inayomtaja Elizaphan

  1. Wana wa Uzieli walikuwa Mishaeli, Elisafani na Sithri.

  2. Mose akawaita Mishaeli na Elisafani, wana wa Uzieli mjomba wake Aroni, akawaambia, “Njooni hapa. Ondoeni miili ya binamu zenu mbele ya mahali patakatifu, mkaipeleke nje ya kambi.”

  3. Kiongozi wa jamaa za koo za Wakohathi alikuwa Elisafani mwana wa Uzieli.

  4. Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake 200.

  5. kutoka kwa wana wa Elisafani, Shimri na Yeieli; kutoka kwa wana wa Asafu, Zekaria na Matania;