Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ziph: 1. Two cities of Judah

7 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu 1. Two cities of Judah

  1. Zifu, Telemu, Bealothi,

  2. Maoni, Karmeli, Zifu, Yuta,

  3. Daudi akakaa katika ngome za jangwani na katika vilima vya Jangwa la Zifu. Siku baada ya siku Sauli aliendelea kumsaka, lakini Mungu hakumtia Daudi mikononi mwake.

  4. Daudi alipokuwa huko Horeshi katika Jangwa la Zifu, akajua kuwa Sauli alikuwa amekuja ili amuue.

  5. Basi wakaondoka na kwenda mpaka Zifu wakimtangulia Sauli. Naye Daudi na watu wake walikuwa katika Jangwa la Maoni, katika Araba kusini mwa Yeshimoni.

  6. Hivyo Sauli akashuka kwenda katika Jangwa la Zifu, akiwa na watu wake 3,000 wa Israeli waliochaguliwa, kumsaka Daudi huko.

  7. Gathi, Maresha, Zifu,