Skip to content

Caleb

7 mistari · 24 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Chelubai, Carmi

Mistari inayomtaja Caleb

  1. Wana wa Hesroni walikuwa: Yerameeli, Ramu na Kalebu.

  2. Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni.

  3. Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri.

  4. Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni.

  5. Pia Maaka akamzaa Shaafu babaye Madmana, na Sheva babaye Makbena na Gibea. Kalebu alikuwa na binti jina lake Aksa.

  6. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Kalebu. Wana wa Huri, mzaliwa mkuu wao wa Efrathi, walikuwa: Shobali akamzaa Kiriath-Yearimu,

  7. Wana wa Yuda walikuwa: Peresi, Hesroni, Karmi, Huri na Shobali.