Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Ziph

9 mistari · 3 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Zifu, Telemu, Bealothi,

  2. Maoni, Karmeli, Zifu, Yuta,

  3. Daudi akakaa katika ngome za jangwani na katika vilima vya Jangwa la Zifu. Siku baada ya siku Sauli aliendelea kumsaka, lakini Mungu hakumtia Daudi mikononi mwake.

  4. Daudi alipokuwa huko Horeshi katika Jangwa la Zifu, akajua kuwa Sauli alikuwa amekuja ili amuue.

  5. Basi wakaondoka na kwenda mpaka Zifu wakimtangulia Sauli. Naye Daudi na watu wake walikuwa katika Jangwa la Maoni, katika Araba kusini mwa Yeshimoni.

  6. Hivyo Sauli akashuka kwenda katika Jangwa la Zifu, akiwa na watu wake 3,000 wa Israeli waliochaguliwa, kumsaka Daudi huko.

  7. Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni.

  8. Wana wa Yahaleleli walikuwa: Zifu, Zifa, Tiria na Asareli.

  9. Gathi, Maresha, Zifu,