Skip to content

Hebron

2 mistari · 5 wanafamilia

Mistari inayomtaja Hebron

  1. Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni.

  2. Hebroni alikuwa na wana wanne: Kora, Tapua, Rekemu na Shema.