Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Watchfulness: Faithful ministers approved by

6 mistari · 28 vipengele

Mistari kuhusu Faithful ministers approved by

  1. “Ni nani basi aliye mtumishi mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake amemweka kusimamia watumishi wengine katika nyumba yake, ili awape chakula chao kwa wakati unaofaa?

  2. Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.

  3. Ndipo Petro akamuuliza, “Bwana, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?”

  4. Yesu akamjibu, “Ni yupi basi wakili mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamfanya msimamizi juu ya watumishi wake wote, ili awape watumishi wengine chakula chao wakati unaofaa?

  5. Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.

  6. Amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.