Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Watchfulness: Blessedness of

2 mistari · 28 vipengele

Mistari kuhusu Blessedness of

  1. Heri wale watumishi ambao bwana wao atakapokuja atawakuta wakiwa wanakesha. Amin, nawaambia, atajifunga mkanda wake na kuwaketisha ili wale, naye atakuja na kuwahudumia.

  2. “Tazama, naja kama mwizi! Amebarikiwa yeye akeshaye na kuziweka tayari nguo zake ili asiende uchi na kuonekana aibu yake.”