Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Raven: Elijah fed by

3 mistari · 10 vipengele

Mistari kuhusu Elijah fed by

  1. Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.”

  2. Hivyo akafanya kile alichoambiwa na Bwana. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko.

  3. Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi na mkate na nyama jioni, naye akanywa maji kutoka kile kijito.