Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Raven: God provides food for

3 mistari · 10 vipengele

Mistari kuhusu God provides food for

  1. Ni nani ampaye kunguru chakula wakati makinda yake yanamlilia Mungu, yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?

  2. Huwapa chakula mifugo na pia makinda ya kunguru yanapolia.

  3. Fikirini ndege! Wao hawapandi wala hawavuni, hawana ghala wala popote pa kuhifadhi nafaka; lakini Mungu huwalisha. Ninyi ni wa thamani zaidi kuliko ndege!