Mistari ya Biblia kuhusu The Raven: Solitary in disposition
Mistari kuhusu Solitary in disposition
Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki, bundi wakubwa na kunguru wataweka viota humo. Mungu atanyoosha juu ya Edomu kamba ya kupimia ya machafuko matupu, na timazi ya ukiwa.