Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Moon: (Withdrawing her light,) of deep calamities

4 mistari · 29 vipengele

Mistari kuhusu (Withdrawing her light,) of deep calamities

  1. Nyota za mbinguni na makundi ya nyota havitatoa mwanga wake. Jua linalochomoza litatiwa giza na mwezi hautatoa nuru yake.

  2. Mbele yao dunia inatikisika, anga linatetemeka, jua na mwezi vinatiwa giza, na nyota hazitoi mwanga wake tena.

  3. Jua na mwezi vitatiwa giza, na nyota hazitatoa mwanga wake tena.

  4. “Mara baada ya dhiki ya siku zile, “ ‘jua litatiwa giza, nao mwezi hautatoa nuru yake; nazo nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu za anga zitatikisika.’