Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Miracles of Christ: Tempest stilled

5 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Tempest stilled

  1. Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata.

  2. Ghafula, kukainuka dhoruba kali baharini hata mashua ikaanza kufunikwa na mawimbi, lakini Yesu alikuwa amelala usingizi.

  3. Wanafunzi wake wakamwendea na kumwamsha, wakisema, “Bwana, tuokoe! Tunazama!”

  4. Naye Yesu akawaambia, “Kwa nini mnaogopa, enyi wa imani haba?” Kisha akaamka na kukemea dhoruba na mawimbi, nako kukawa shwari kabisa.

  5. Nao walipoingia ndani ya mashua, upepo ukakoma.