Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Miracles of Christ: Lepers cleansed

2 mistari · 30 vipengele

Tafuta "The Miracles of Christ"

Mistari kuhusu Lepers cleansed

  1. Yesu akanyoosha mkono wake akamgusa yule mtu, akamwambia, “Nataka. Takasika!” Mara yule mtu akatakasika ukoma wake.

  2. Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika.