Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Miracles of Christ: Impotent man healed

5 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Impotent man healed

  1. Mtu mmoja alikuwako huko ambaye alikuwa ameugua kwa miaka thelathini na minane.

  2. Yesu alipomwona akiwa amelala hapo, naye akijua kuwa amekuwa hapo kwa muda mrefu, akamwambia, “Je, wataka kuponywa?”

  3. Yule mgonjwa akamjibu, “Bwana, mimi sina mtu wa kuniingiza bwawani maji yanapotibuliwa. Nami ninapotaka kutumbukia bwawani, mtu mwingine huingia kabla yangu.”

  4. Yesu akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.”

  5. Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea. Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.