Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Miracles of Christ: Peter's wife's mother healed

2 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Peter's wife's mother healed

  1. Yesu alipoingia nyumbani kwa Petro, alimkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani, akiwa ana homa.

  2. Akamgusa mkono wake na homa ikamwacha, naye akainuka na kuanza kumhudumia.