Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Miracles of Christ: Dropsy cured

3 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Dropsy cured

  1. Papo hapo mbele yake palikuwa na mtu mmoja mwenye ugonjwa wa kuvimba mwili.

  2. Yesu akawauliza wale Mafarisayo na walimu wa sheria, “Je, ni halali kuponya watu siku ya Sabato au la?”

  3. Wakakaa kimya. Hivyo Yesu akamshika yule mgonjwa mkono na kumponya, akamruhusu aende zake.