Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Miracles of Christ: Issue of blood stopped

3 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Issue of blood stopped

  1. Wakati huo huo, mwanamke mmoja, ambaye alikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, akaja nyuma ya Yesu, akagusa upindo wa vazi lake,

  2. kwa maana alisema moyoni mwake, “Kama nikigusa tu vazi lake, nitaponywa.”

  3. Yesu akageuka, naye alipomwona akamwambia, “Binti, jipe moyo mkuu, imani yako imekuponya.” Naye yule mwanamke akapona kuanzia saa ile ile.