Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Salvation: Rejoice in

3 mistari · 106 vipengele

Mistari kuhusu Rejoice in

  1. ili niweze kutangaza sifa zako katika malango ya Binti Sayuni na huko niushangilie wokovu wako.

  2. Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Ee Bwana, mfalme huzifurahia nguvu zako. Tazama jinsi ilivyo kuu furaha yake kwa ushindi unaompa!

  3. Katika siku ile watasema, “Hakika huyu ndiye Mungu wetu; tulimtumaini, naye akatuokoa. Huyu ndiye Bwana, tuliyemtumaini; sisi tushangilie na kufurahia katika wokovu wake.”