Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Salt: Liberally afforded to the Jews after the captivity

2 mistari · 29 vipengele

Mistari kuhusu Liberally afforded to the Jews after the captivity

  1. Chochote kinachohitajika kama mafahali wachanga, kondoo dume, wana-kondoo kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa kwa Mungu wa mbinguni, ngano, chumvi, divai na mafuta kama vitakavyohitajika na makuhani huko Yerusalemu, lazima wapewe kila siku pasipo kukosa,

  2. talanta 100 za fedha, ngano kori 100, divai bathi 100, mafuta ya zeituni bathi 100, na chumvi kiasi chochote.