Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Salt: Lost its savour when exposed to the air

2 mistari · 29 vipengele

Mistari kuhusu Lost its savour when exposed to the air

  1. “Ninyi ni chumvi ya ulimwengu. Lakini chumvi ikipoteza ladha yake, yawezaje kurudishiwa ladha yake tena? Haifai tena kwa kitu chochote, ila kutupwa nje ikanyagwe na watu.

  2. “Chumvi ni nzuri, lakini ikipoteza ladha yake utaifanyaje ili iweze kukolea tena? Mwe na chumvi ndani yenu, mkaishi kwa amani, kila mmoja na mwenzake.”