Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Salt: Used in ratifying covenants

2 mistari · 29 vipengele

Mistari kuhusu Used in ratifying covenants

  1. Chochote kitakachotengwa kutoka sadaka takatifu ambazo Waisraeli wanamtolea Bwana, ninakupa wewe, wanao na binti zako kama fungu lenu la kawaida. Ni Agano la milele la chumvi mbele za Bwana kwako na watoto wako.”

  2. Hamfahamu kwamba Bwana, Mungu wa Israeli, alimpa Daudi na wazao wake ufalme juu ya Israeli milele kwa Agano la chumvi?