Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Revenge: Overcome others by kindness

3 mistari · 32 vipengele

Mistari kuhusu Overcome others by kindness

  1. Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; kama ana kiu, mpe maji anywe.

  2. Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, naye Bwana atakupa thawabu.

  3. Badala yake: “Kama adui yako ana njaa, mlishe; kama ana kiu, mpe kinywaji. Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake.”