Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prisons: Prisoner's own house, where he was kept bound to a soldier

5 mistari · 44 vipengele

Mistari kuhusu Prisoner's own house, where he was kept bound to a soldier

  1. Tulipofika Rumi, Paulo aliruhusiwa kuishi peke yake akiwa na askari wa kumlinda.

  2. Kwa miaka miwili mizima Paulo alikaa huko kwa nyumba aliyokuwa amepanga. Akawakaribisha wote waliokwenda kumwona.

  3. Bwana akawahurumie watu wa nyumbani mwa Onesiforo, kwa sababu aliniburudisha mara kwa mara wala hakuionea aibu minyororo yangu.

  4. Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata.

  5. Bwana na amjalie kupata rehema zake siku ile! Nawe unajua vyema jinsi alivyonisaidia huko Efeso.