Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prisons: Might have their condition ameliorated by the king

2 mistari · 44 vipengele

Mistari kuhusu Might have their condition ameliorated by the king

  1. Lakini sasa, bwana wangu mfalme, tafadhali sikiliza. Niruhusu nilete maombi yangu mbele yako, usinirudishe kwenye nyumba ya Yonathani mwandishi, nisije nikafia humo.”

  2. Ndipo Mfalme Sedekia akatoa maagizo Yeremia awekwe katika ua wa walinzi, na apewe mkate kutoka mitaa ya waokaji kila siku mpaka mikate yote katika mji itakapokwisha. Kwa hiyo Yeremia akabaki katika ua wa walinzi.