Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Prisons: Condemned persons till executed

3 mistari · 44 vipengele

Mistari kuhusu Condemned persons till executed

  1. Nao wakamweka mahabusu mpaka mapenzi ya Bwana yawe wazi kwao.

  2. Baada ya kumkamata alimtia gerezani, chini ya ulinzi wa vikundi vinne vya askari, vyenye askari wanne kila kimoja. Herode alikuwa amekusudia kumtoa na kumfanyia mashtaka mbele ya watu baada ya Pasaka.

  3. Kwa hiyo Petro akawekwa gerezani, lakini kanisa lilikuwa likimwombea kwa Mungu kwa bidii.