Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prayer Under Affliction: For protection and preservation from enemies

4 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu For protection and preservation from enemies

  1. Sasa basi, Ee Bwana Mungu wetu, tuokoe kutoka mkononi mwake, ili falme zote duniani zipate kujua kwamba wewe peke yako, Ee Bwana, ndiwe Mungu.”

  2. Ee Mungu wetu, je, wewe hutawahukumu? Kwa kuwa sisi hatuna uwezo wa kukabiliana na jeshi hili kubwa linalokuja kutushambulia. Sisi hatujui la kufanya, bali macho yetu yanakutazama wewe.”

  3. Nilinde kama mboni ya jicho lako, unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako

  4. kutokana na waovu wanaonishambulia, kutokana na adui wauaji wanaonizunguka.