Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prayer Under Affliction: For pardon and deliverance from sin

3 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu For pardon and deliverance from sin

  1. Niokoe kutoka kwenye makosa yangu yote, usinifanye kuwa dhihaka ya wapumbavu.

  2. Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Baada ya kukemewa na nabii Nathani kwa kuzini na Bathsheba. Ee Mungu, unihurumie, kwa kadiri ya upendo wako usiokoma, kwa kadiri ya huruma yako kuu, uyafute makosa yangu.

  3. Usituhesabie dhambi za baba zetu, huruma yako na itujie hima, kwa maana tu wahitaji mno.