Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prayer Under Affliction: That we may be turned to God

5 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu That we may be turned to God

  1. Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote, uturejeshe; utuangazie uso wako, nasi tuweze kuokolewa.

  2. Ee Mungu Mwokozi wetu, uturejeshe tena, nawe uiondoe chuki yako juu yetu.

  3. Je, utatukasirikia milele? Utaendeleza hasira yako kwa vizazi vyote?

  4. Je, hutatuhuisha tena, ili watu wako wakufurahie?

  5. “Hakika nimeyasikia maombolezo ya Efraimu: ‘Ulinirudi kama ndama mkaidi, nami nimekubali kutii. Unirudishe, nami nitarudi, kwa sababu wewe ndiwe Bwana, Mungu wangu.