Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Parents: Receive their children from God

3 mistari · 48 vipengele

Mistari kuhusu Receive their children from God

  1. Esau akainua macho akawaona wale wanawake na watoto. Akauliza, “Hawa uliofuatana nao ni nani?” Yakobo akamjibu, “Ni watoto ambao Mungu amempa mtumishi wako kwa neema.”

  2. Niliomba mtoto huyu, naye Bwana amenijalia kile nilichomwomba.

  3. Wana ni urithi utokao kwa Bwana, watoto ni zawadi kutoka kwake.