Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Parents: Mother of Moses

2 mistari · 48 vipengele

Mistari kuhusu Mother of Moses

  1. naye mwanamke huyo akapata mimba, akazaa mtoto wa kiume. Alipoona mtoto huyo ni mzuri, akamficha kwa miezi mitatu.

  2. Lakini alipoona hawezi kumficha zaidi, akamtengenezea kisafina cha mafunjo, akakipaka lami. Kisha akamweka huyo mtoto ndani yake, akakificha katikati ya matete kando ya ukingo wa Mto Naili.