Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Parents: Leave a blessing to their children

3 mistari · 48 vipengele

Mistari kuhusu Leave a blessing to their children

  1. Watoto wake watakuwa wenye uwezo katika nchi, kizazi cha watu waadilifu kitabarikiwa.

  2. Uwe na hakika na hili: Waovu hawataepuka kuadhibiwa, bali wenye haki watakuwa huru.

  3. Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa watoto ili wapatwe na majanga, kwa kuwa watakuwa taifa lililobarikiwa na Bwana, wao na wazao wao pamoja nao.