Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Parables: Fig-tree leafing

3 mistari · 74 vipengele

Mistari kuhusu Fig-tree leafing

  1. “Basi jifunzeni somo hili kutokana na mtini: Matawi yake yanapoanza kuchipua na kutoa majani, mnatambua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia.

  2. Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yote, mnatambua kwamba wakati u karibu, hata malangoni.

  3. Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.