Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Parables: Builder of a tower

4 mistari · 74 vipengele

Mistari kuhusu Builder of a tower

  1. “Ni nani miongoni mwenu ambaye kama anataka kujenga nyumba, hakai kwanza chini na kufanya makisio ya gharama aone kama ana fedha za kutosha kukamilisha?

  2. La sivyo, akiisha kuweka msingi, naye akiwa hana uwezo wa kuikamilisha, wote waionao wataanza kumdhihaki,

  3. wakisema, ‘Mtu huyu alianza kujenga lakini hakuweza kukamilisha.’

  4. Vivyo hivyo, yeyote miongoni mwenu ambaye hawezi kuacha vyote alivyo navyo, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.